Maktaba ya Picha
-
3
Ziara ya Naibu Waziri - Kilimo tarehe 21 Oktoba 2020
Picha za matukio mbali mbali wakati wa Ziara ya Naibu Waziri - Kilimo ( Mhe. Omary Mgumba) Katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Umwagilaji Dodoma tarehe 21 Oktoba 2020
Imewekwa : October, 22, 2020
-
3
KIKAO KAZI MOROGORO
Picha za matukio mbali mbali wakati wa kikao kazi baina ya Katibu Mkuu Wazara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya , Menejimenti ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji na Wahandisi wa Mikoa kilichofanyika mjini Morogoro tarehe 16 Septemba 2020.
Imewekwa : September, 19, 2020
-
9
Matukio Maonyesho ya Nane Nane 2020
Picha za matukio mbali mbali katika maonyesho ya Kitaifa ya Nane Nane kwa mwaka 2020 yanayoendelea katika viwanja vya Nyakibindi mkoani Simiyu.
Imewekwa : August, 02, 2020
-
1
Mashamba ya Mpunga
Skimu ya Umwagiliaji Rungwe Mpya
Imewekwa : June, 07, 2018