Habari
Waziri wa Kilimo Mh. Hussein Bashe akisoma Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2022 - 2023 Bungeni Mjini Dodoma 17 .05. 2022.
Imewekwa: May 19, 2022
WAZIRI BASHE AZINDUA BODI TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI,AIPA MALENGO YA KIMKAKATI.
Imewekwa: May 16, 2022
TUME YATAKIWA JENGA MFUMO WA KUSIMAMIA SKIMU ZA UMWAGILIAJI NCHINI.
Imewekwa: May 10, 2022
ONGEZOKO BAJETI SEKTA YA UMWAGILIAJI ASILIMIA 100
Serikali imeongeza fedha za Maendeleo katika Sekta ya Umwagiliaji kutoka Shilingi Bilioni 46.5 hadi Bilioni 146.5 Soma zaidi
Imewekwa: Mar 24, 2022
Mkandarasi, Meneja, Meneja, kamati ya Ujenzi Kirya kuainisha maeneo ya kijamii.
Mkandarasi, Meneja Mradi na kamati ya Ujenzi kuoanisha maeneo ya kijamii Skimu ya Kirya. Soma zaidi
Imewekwa: Feb 15, 2022
Prof. Mahoo amtaka Mkandarasi kurekebisha kasoro Bwawa la Endagaw
Prof. Mahoo amtaka Mkandarasi kurekebisha kasoro ujenzi Bwawa la Endagaw. Soma zaidi
Imewekwa: Feb 15, 2022
NIRC KUTUMIA SHILINGI BILIONI MBILI KWA AJILI YA UKARABATI WA MITAMBO
Tume imeandaa bajeti ya Shilingi Bilioni Mbili kwaajili ya ukarabati wa Mitambo. Soma zaidi
Imewekwa: Jan 27, 2022
MAAGIZO YA NAIBU WAZIRI BASHE KWA TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo ameiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kuainisha eneo linalofaa Soma zaidi
Imewekwa: Nov 26, 2021
TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI YANADI TOZO ZA UMWAGILIAJI
Tume yawakumbusha wakulima wa skimu za umwagiliaji kulipa ada na tozo Soma zaidi
Imewekwa: Oct 13, 2021
Tume ya Taifa ya umwagiliaji imejiwekea mikakati ya kukusanya Shilingi Bilioni 30
Tume ya Taifa ya umwagiliaji imejiwekea mikakati ya kukusanya Shilingi Bilioni 30 Soma zaidi
Imewekwa: Oct 08, 2021
WANANCHI KIGOMA KUNUFAIKA NA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KUPITIA BONDE LA LUICHE
Wakulima waipongeza serikali kwa uendelezaji bonde la Luiche. Soma zaidi
Imewekwa: Jul 14, 2021
WAKULIMA MOROGORO WANUFAIKA NA MRADI WA KUONGEZA UZALISHAJI WA ZAO LA MPUNGA.
Wakulima katika skimu za kilimo cha umwagiliaji Mvumi, Msolwa Ujamaa na Njage wanufaika na mradi wa ERPP. Soma zaidi
Imewekwa: Jul 14, 2021