Muundo wa Taasisi

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji ilianzishwa kwa sheria namba 5 ya mwaka 2013 na kuwa Taasisi ya Serikali inayojitegemea chini ya Wizara inayosimamia sekta ya umwagiliaji. Majukumu mahususi ya tume ni pamoja na kuratibu,kutangaza,kuelekeza shughuli za maendeleo ya sekta ya umwagiliaji.