Kufika Makao makuu ya Tume

Jengo la makao makuu ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji mjini Dodoma (HQ) lipo Kikuyu Kusini, ukifika (keepleft) mzunguko wa magari barabara ya iendayo mkoani Iringa, ukitokea mjini shuka moja kwa moja na barabara iendayo chuo kikuu cha St, John mbele kidogo ya kituo cha mafuta cha Ijenga kushoto kuna kibao chenye maelekezo zilipo Ofisi.