Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Bw. Raymond Mndolwa, akitoa maelezo mbele ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, katika Kijiji cha Mitambo kwenye Maonesho ya Kilimo ya Nanenane ya mwaka 2025 jijini Dodoma, kuhusu teknolojia ya kisasa ya Centre Pivot System.