Habari

Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imedhamiria kupanua wigo wa kilimo cha umwagiliaji

Serikali imedhamiria kupanua wigo wa kilimo cha umwagiliaji kufikia kufikia hekta 1,000,000 Soma zaidi

Imewekwa: Sep 19, 2020

Serikali yaongeza eneo la umwagiliaji nchini

SERIKALI Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita imeboresha miundombinu ya umwagiliaji nchini Soma zaidi

Imewekwa: Aug 01, 2020

MAZAO YA MBOGAMBOGA YACHANGIA KASI YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

IMEELEZWA KUWA, uhitaji mkubwa wa mazao ya mbogamboga katika Jiji la Mbeya na mikoa ya Jirani umechangia Soma zaidi

Imewekwa: May 05, 2020

MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI WAKABIDHIWA KWA WAKULIMA ITIGI.

Halmashauri ya Wilaya ya Itigi imekabidhiwa rasmi mradi wa skimu ya kilimo cha Umwagiliaji Soma zaidi

Imewekwa: May 05, 2020

Uzalishaji wa mpunga Mbeya waongezeka

UZALISHAJI wa zao la mpunga mkoani Mbeya umekuwa ukiongezeka kwa wastani wa tija Soma zaidi

Imewekwa: Apr 06, 2020

Ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji Mbeya

UBORESHAJI wa miundo mbinu ya umwagiliaji mkoani Mbeya imeongeza eneo la umwagiliaji kutoka Soma zaidi

Imewekwa: Apr 01, 2020