Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Makao Makuu Dodoma

Nirc Headquarters Dodoma

 

Office Address

Ofisi ya makao makuu, Tume ya Taifa ya Umwagiliaji ipo mkoani Dodoma mkabala na chuo kikuu cha St, John's

na inapatikana kwa anuani ifuatayo:

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji,

S.L.P 146 Kikuyu Kusini.

Barua pepe: info@nirc.go.tz

Simu: + 255 - 26 29 62 07 3/0

 

Jukumu la Ofisi

Ofisi ya Tume ya taifa ya umwagiliaji makao makuu Dodoma inajukumu la kuziwezesha Ofisi zake zilizoko katika mikoa 25 nchini ili ziweze kutekeleza majukumu yake katika kutoa huduma za kilimo cha umwagiliaji, ikiwemo raslimali watu,wataalam na raslimali fedha, ofisi hii inatekeleza wajibu wake chini ya sheria ya umwagiliaji namba 4 ya mwaka 2013.