Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji

ZIARA YA WAZIRI WA KILIMO MHE. DANIEL CHONGOLO MRADI WA UMWAGILIAJI MKOANI LINDI

Pichani Waziri wa Kilimo Mhe. Daniel Chongolo, Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayesimamia Umwagiliaji na Zana za Kilimo, Mha. Athumani Kilundumya (Wa pili Kushoto) wakuu wa wilaya na baadhi ya watumishi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Bw. Raymond Mndolwa (wa kwanza kushoto) wakati wa ziara yake katika mradi wa ujenzi bwawa la Umwagiliaji Ndanda mkoani Mtwara.

17
Dec 25