MWENYEKITI WA BOARD YA UONGOZI NIRC ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI MRADI WA MEMBE
Mwenyekiti Bodi ya Uongozi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Dkt. Richard Masika akitoa maelekezo Katika mradi wa ujenzi bwawa la Umwagiliaji la Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma, ambapo amekiri kuridhishwa na utekelezaji wa mradi huo.