MNDOLWA AAGIZA USIMAMIZI MADHUBUTI WA SKIMU ZA UMWAGILIAJI
Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Bw. Raymond Mndolwa akizungumza na maafisa Kilimo Mafundi Sanifu ambapo amewasihi usimamizi madhubuti wa skimu za Umwagiliaji kuhakikisha inaleta tija kwa wakulima.