Habari

Skimu 100 za Umwagiliaji Zanufaika na Mafunzo Nchini

Skimu 100 za umwagiliaji nchini wamenufaika na mafunzo ya kukuza na kuboresha kilimo cha umwagiliaji. Soma zaidi

Imewekwa: Aug 16, 2019

Mapitio ya Mwongozo Yakinifu wa Kilimo cha Umwagiliaji Yafanyika

SERIKALI Kwa kushirikiana na Shirika la kimataifa la maendeleo la Japan (JICA) kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Soma zaidi

Imewekwa: Jun 30, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Yanufaikana Kilimo cha Umwagiliaji

IMEELEZWA kuwa kilimo cha umwagiliaji ni chanzo kikubwa cha mapato katika Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Soma zaidi

Imewekwa: Jun 30, 2019

Wataalam Kilimo cha Umwagiliaji Nchini Wapigwa Msasa

Imeelezwa kuwa Serikali kwa kushirikina na Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan JICA Soma zaidi

Imewekwa: Jun 30, 2019

Wakulima Lemkuna Waiomba Serekali Kuwaongezea Eneo la Kilimo cha Umwagiliaji

Wakulima wa Lemkuna iliyopo katika Wilaya ya Simanjiro, Manyara wameiomba serikali kuwaongeazea eneo Soma zaidi

Imewekwa: Jun 30, 2019

Wakulima Mbulu Waiomba Serikali Kuwaleta Wataalam wa Kilimo

Wakulima Wilayani Mbulu wameiomba serikali iwapelekee wataalamu wa kilimo na pembejeo za kutosha. Soma zaidi

Imewekwa: Jun 30, 2019

Tangazeni mafanikio ya Serikali - Majaliwa awaambia Maafisa Habari

WAZIRI MKUU, amewataka Maafisa Habari, kutangaza mafanikio makubwa yanayofanywa na serikali. Soma zaidi

Imewekwa: Mar 26, 2019

Poland kusaidia Kilimo cha Umwagiliaji.

NCHI ya Poland kushirikiana na Tanzania kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Soma zaidi

Imewekwa: Feb 26, 2019

Training equips farmers with operation knowledge

A total of 6,887 farmers have undergone training on FI, OM of irr. schemes since 2015 Soma zaidi

Imewekwa: Oct 23, 2018

Wakandarasi watakiwa kuzingatia viwango vya ujenzi wa miundo mbinu ya umwagiliaji

WAKANDARASI wanaojenga miundo mbinu ya umwagiliaji nchini wametakiwa kuzingatia viwango na ubora Soma zaidi

Imewekwa: Oct 23, 2018

MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI MBARALI YAWANUFAISHA WAKULIMA

Skimu ya umwagiliaji Igomelo imewanufaisha wakulima wanaojishughulisha na kilimo cha mbogamboga. Soma zaidi

Imewekwa: Oct 22, 2018

Mambwana Shamba Wahimizwa Kutumia Tafiti Katika Uzalishaji

Kukuza pato la Taifa ni lazima kutumia tafiti zilizofanywa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Soma zaidi

Imewekwa: Aug 14, 2018