Wasifu

Bw. Raymond William Mndolwa

Mkurugenzi Mkuu

Bw. Raymond William Mndolwa

 

HISTORIA YA ELIMU


 • Shahada ya Uzamili Katika Masuala ya Biashara [MBA]. - ESAMI & MAASTRICHT SHULE YA USIMAMIZI:- Kuanzia mwaka 2006 hadi 2008
 • Mikakati ya Kufanya Biashara na Kuboresha Utendaji wa Huduma. IP 3. - Taasisi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Washington DC:- Novemba 2009
 • Diploma ya Juu ya Utawala wa Biashara Elimu ya Juu Katika Masuala ya Masoko. -  CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MOROGORO:- Kuanzia mwaka 1993 hadi 1996


UZOEFU / HISTORIA YA KAZI


 • Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji:-  Kuanzia mwaka 2022 hadi Sasa
 • Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utawala wa Mikoa. - Shirika la Nyumba la Taifa:- Kuanzia 2010 hadi 2018.
 • Afisa Mkuu wa Biashara na Mkurugenzi wa Uendeshaji. - Shirika la Majisafi na Majitaka Dar Es Salaam:- Kuanzia Juni 2005 hadi Julai 2010.
 • Afisa Uhusiano Mkuu. - City Water Services Limited:- Kuanzia Septemba 2003 hadi Juni 2005.
 • Meneja Mwandamizi Huduma za Rejareja.- Benki ya Barclays Tanzania Limited:- Kuanzia Januari 2000 hadi Septemba 2003.
 • Afisa Masoko wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC):- Kuanzia mwaka 1994 hadi 1999.
 • Mkurugenzi Mtendaji wa Biashara - Friends Hotel Limited:- Kuanzia mwaka 1998 hadi 2000.


MAPENDELEO


 • Kuendesha baiskeli
 • Kutembea