Habari
MKURUGENZI MKUU - NIRC - AWAKUMBUSHA WAHANDISI UMWAGILIAJI UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAO.
Mkurugenzi mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Bw, Raymond Mndolwa amewataka wahandisi wa umwagiliaji wa mikoa kutekeleza wajibu wao kwa weledi katika kuwasimamia wakandarasi wanaotekeleza miradi katika maeneo yao ikiwemo uandishi sahihi wa taarifa za utekelezaji miradi na kuhifadhi kumbukumbu za nyaraka husika.