Habari
Wakulima Mbulu Waiomba Serikali Kuwaleta Wataalam wa Kilimo
Wakulima Wilayani Mbulu wameiomba serikali iwapelekee wataalamu wa kilimo na pembejeo za kutosha. Soma zaidi
Imewekwa: Jun 30, 2019
Tangazeni mafanikio ya Serikali - Majaliwa awaambia Maafisa Habari
WAZIRI MKUU, amewataka Maafisa Habari, kutangaza mafanikio makubwa yanayofanywa na serikali. Soma zaidi
Imewekwa: Mar 26, 2019
Poland kusaidia Kilimo cha Umwagiliaji.
NCHI ya Poland kushirikiana na Tanzania kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Soma zaidi
Imewekwa: Feb 26, 2019
Training equips farmers with operation knowledge
A total of 6,887 farmers have undergone training on FI, OM of irr. schemes since 2015 Soma zaidi
Imewekwa: Oct 23, 2018
Wakandarasi watakiwa kuzingatia viwango vya ujenzi wa miundo mbinu ya umwagiliaji
WAKANDARASI wanaojenga miundo mbinu ya umwagiliaji nchini wametakiwa kuzingatia viwango na ubora Soma zaidi
Imewekwa: Oct 23, 2018
MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI MBARALI YAWANUFAISHA WAKULIMA
Skimu ya umwagiliaji Igomelo imewanufaisha wakulima wanaojishughulisha na kilimo cha mbogamboga. Soma zaidi
Imewekwa: Oct 22, 2018
Mambwana Shamba Wahimizwa Kutumia Tafiti Katika Uzalishaji
Kukuza pato la Taifa ni lazima kutumia tafiti zilizofanywa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Soma zaidi
Imewekwa: Aug 14, 2018
Mpango Kabambe wa Maendeleo ya Kilimo Awamu ya Pili Kuelekea Tanzania ya Viwanda
Serikali ina mpango kabambe wa kuimarisha kilimo cha umwagiliaji ili kupunguza utegemezi wa mvua. Soma zaidi
Imewekwa: Aug 14, 2018
Mpango kabambe wa kilimo cha umwagiliaji
Mapitio ya Mpango kabambe ya kilimo cha umwagiliaji yafanyika Soma zaidi
Imewekwa: Jul 27, 2018
WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MAENEO YA KILIMO
Wakulima katika eneo la Dakawa Wilayani Mvomero, wameiomba Serikali kuwaongezea eneo. Soma zaidi
Imewekwa: Jul 26, 2018
Wakulima Dakawa wanufaika na kilimo cha Umwagiliaji
Ukukarabati wa mindombinu ya umwagilijai wanufaisha wakulima Soma zaidi
Imewekwa: Jul 26, 2018
Mafunzo maalum kwa Wahandisi
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imetoa Mafunzo kwa wahandisi watakaosimamia ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji Soma zaidi
Imewekwa: Jun 28, 2018